Wanachama wa RCA-Tanzania wajumuika katika michezo na kusahau makali ya jua la Dar
Siku ya Jumamosi Machi 9, 2024 ilikuwa ni wakati wa furaha kwa Jumuiya ya Wanyarwanda waishio nchini Tanzania (RCA), hususan Dar es salaam, ambapo wanaume kwa wanawake na watoto walijimwaga ufukweni na kushiriki katika michezo mbalimbali ya kirafiki.
Pembeni ya bahari ya Hindi katika fukwe za Sawa Sawa Bay Mikocheni, licha ya jua kali, mchuano mkali ulifanyika katika michezo ya soka, volleyball, kuvuta kamba na kuruka na magunia.
MheBalozi Fatou HARERIMANA aliwapongeza kwa umoja wao na kuitumia fursa hiyo kuwahimiza kushiriki katika Kumbukizi ya miaka 30 ya Mauaji ya Kimbari dhidi ya Watutsi nchini Rwanda mnamo mwaka 1994; kumbukizi ambayo itafanyika tarehe 7 Aprili 2024.




Rwanda inajizatiti kama moja ya wazalishaji wakuu wa tungsten duniani, ikiwa ya 7 duniani na ya kwanza barani Afrika. Mafanikio haya yanatokana na Mgo…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Rwanda…
Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiagana na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Mhe. Fatou Harerimana mara baada ya…
On 13th May, 2024, Rwanda High Commission in Tanzania administered an oath, and issued a Certificate of Rwandan Nationality, to Ms. Anoek De Smet, a…