Balozi Harerimana amaliza muda wake wa kazi nchini Tanzania, amuaga Rais Samia
Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiagana na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Mhe. Fatou Harerimana mara baada ya mazungumzo yao waliyoyafanya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 23 April 2024 alipofika kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini Tanzania.

Balozi Fatou Harerimana anatarajiwa kuendelea na utumishi wake akiwakilisha kama Balozi mpya wa Rwanda nchini Pakistan.
Rwanda inajizatiti kama moja ya wazalishaji wakuu wa tungsten duniani, ikiwa ya 7 duniani na ya kwanza barani Afrika. Mafanikio haya yanatokana na Mgo…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Rwanda…
On 13th May, 2024, Rwanda High Commission in Tanzania administered an oath, and issued a Certificate of Rwandan Nationality, to Ms. Anoek De Smet, a…
The 30th Commemoration of the genocide against the Tutsi was held in Dar es salaam on 7th April, 2024. The event was organised by the Rwanda High…