| Economic |

RWANDA NA TANZANIA ZANUIA KUSHIRIKIANA KATIKA SEKTA YA MAZIWA

Zanzibar. Mnamo tarehe 12 Januari 2024, Serikali za Rwanda na Tanzania ziliingia makubaliano ya kushirikiana kuendeleza  Sekta ya Maziwa (Dairy Industry). Waliotia saini katika Hati ya Makubaliano ni Waziri wa Nchi anayeshughulikia Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kikanda wa Rwanda, Mhe Jenerali (Rtd) James Kabarebe, na Waziri wa Mifugo na Uvuvi wa Tanzania Mhe. Abdallah Ulega (Mb).

Hafla hiyo ilishuhudiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, Mhe. January Makamba, Naibu wake Mhe. Stephen Byabato na viongozi wengine kutoka wizara hiyo, Wizara ya Mifugo na Uvuvi na Bodi ya Maziwa Tanzania.

Wengine ni Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Mhe. Fatou Harerimana na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Mhe. Maj. Jen Ramson Godwin Mwaisaka.

Whatsapp

  | Economic |

Rwanda yakomaa na uzalishaji wa Tungsten

Rwanda inajizatiti kama moja ya wazalishaji wakuu wa tungsten duniani, ikiwa ya 7 duniani na ya kwanza barani Afrika. Mafanikio haya yanatokana na Mgo…

Read more →
  | Diplomacy |

RWANDA REJECTS SADC SUMMIT ACCUSATIONS AGAINST THE RDF

Rwanda rejects the accusations against the Rwanda Defence Force (RDF) made in the statement of the Extraordinary Summit of the Southern African…
Read more →
  | Tanzania Embassy |

Balozi Mteule Nyamvumba awasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais Samia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Rwanda…

Read more →
  | News |

Balozi Mteule Jenerali Nyamvumba akutana na Waziri Kombo

Balozi Mteule wa Jamhuri ya Rwanda katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Gen. Patrick Nyamvumba awasilisha Nakala ya Hati za Utambulisho kwa…
Read more →
  | News |

Balozi Harerimana amaliza muda wake wa kazi nchini Tanzania, amuaga Rais Samia

Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiagana na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Mhe. Fatou Harerimana mara baada ya…

Read more →
  | News |

Rwandan Community welcomes a new member

On 13th May, 2024, Rwanda High Commission in Tanzania administered an oath, and issued a Certificate of Rwandan Nationality, to Ms. Anoek De Smet, a…

Read more →
-->