BALOZI FATOU AKUTANA NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM (BARA)
Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Fatou Harerimana, alikutana na kufanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdurahman Kinana, siku ya tarehe 10 Januari, 2024, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam.
Mazungumzo yao yalijikita katika kuendelea kudumisha uhusiano mzuri baina ya Tanzania na Rwanda, nchi jirani zenye ushirikiano mzuri na wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Rwanda inajizatiti kama moja ya wazalishaji wakuu wa tungsten duniani, ikiwa ya 7 duniani na ya kwanza barani Afrika. Mafanikio haya yanatokana na Mgo…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Rwanda…
Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiagana na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Mhe. Fatou Harerimana mara baada ya…
On 13th May, 2024, Rwanda High Commission in Tanzania administered an oath, and issued a Certificate of Rwandan Nationality, to Ms. Anoek De Smet, a…